Inaelezwa kuwa design ya viatu hivyo iliibwa na kusambazwa sokoni kabla ya bidhaa hiyo kusajiliwa rasmi, kosa ambalo linatajwa kuwa ni la hati miliki na hata maombi hayo kuchelewa kufanyika kumesababisha maamuzi hayo ya mahakama.
Inaeezwa kuwa viatu hivyo maarufu kama ‘Crocs’ vinamilikiwa na Kampuni moja ya Ufaransa inayoitwa Gifi Diffusion na kampuni hiyo ndio iliyofungua kesi ya kufungiwa design hiyo mwaka 2013 baada kuibwa kwa desin hiyo na kuingizwa sokoni kinyume cha sheria.
0 Comments:
Chapisha Maoni