
Klabu ya Southampton imetangaza kumsimamisha Kocha wake, Mauricio Pellegrino, kutokana na matokeo yasiyoridhisha msimu huu.
Southampton imeshinda mchezo mmoja pekee kati ya 17 zilizopita huku ikipata kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Newcastle United Jumamosi iliyopita.
Katika msimamo wa ligi, timu hiyo ipo nafasi ya 17 ikiwa na pointi 28 juu ya Cystal Palace iliyo na 27.
Pellegrino alitangazwa kuwa Kocha wa Southampton mwezi Julai 2017 akichukua nafasi ya Claude Puel.
0 Comments:
Chapisha Maoni