KENYA KUANZA KUVUTA WAWEKEZAJI KATIKA VIWANDA.

Image result for kenya economy
Katibu mkuu wa Wizara ya viwanda ya Kenya Bibi Betty Maina amesema, Kenya inafanya juhudi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuanzisha viwanda ili kuongeza uuzaji wa bidhaa zake katika soko la dunia.
Bibi Maina amesema mauzo ya bidhaa zake katika nchi za Afrika Mashariki yamekuwa yanakwamishwa kutokana na kuongezeka kwa ushindani, kwa hiyo Kenya inatafuta wawekezaji wanaoweza kutengeneza bidhaa kwa ajili ya soko la kimataifa.

Amesema Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC lilikuwa soko lenye faida kubwa kwa bidhaa za Kenya. Lakini sasa nchi hizo zimeanzisha viwanda ambavyo vinatengeneza bidhaa ambazo zilikuwa zinaagiza kutoka Kenya.
Share on Google Plus

About huhesofm blog

0 Comments:

Chapisha Maoni