KORONGO WA UGANDA WAWEKA KAMBI, OKWI NA JJUUKO NDANI.


Uganda Cranes jana Jumanne asubuhi walianza maandalizi kuelekea katika kambi ya siku kadhaa huko Niger ambapo watakuwa na michezo miwili ya kimataifa dhidi ya Niger na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Wachezaji wengi wa kigeni kama Emmanuel Okwi, Denis Iguma, William Kizito Luwagga wamehudhuria mazoezi leo Jumatano.

Timu inatarajiwa kuondoka Jumamosi usiku kuelekea Niger kabla ya mechi Jumanne jumanne ijayo.
Michezo hiyo miwili ya kimataifa ni sehemu ya maandalizi na mipango ya kukusanya timu ili kufanya vizuri katika kufuzu AFCON 2019 ambayo itaanza tena mwezi Septemba 2018.

Players who trained on Tuesday: Salim Jamal Magoola, Murushid Juuko, Isaac Muleme, Hassan Wasswa Mawanda, Khalid Aucho and Allan Kateregga

The Full summoned Squad.

Goalkeepers: 
Denis Onyango (Mamelodi Sundowns, South Africa), Charles Lukwago (KCCA FC), Jamal Salim (El Merreikh, Sudan.)

Defenders: 
Denis Iguma (Al Nabi Shayth, Lebanon), Nico Wadada (Vipers SC), Murushid Jjuko (Simba, Tanzania), Bevis Mugabi (Yeovil Town, England), Timothy Awanyi (KCCA FC), Godfrey Walusimbi (Gor Mahia), Isaac Muleme (Assiouty, Egypt)

Midfielders: 
Joseph Ochaya (Lusaka Dynamos, Zambia), Hassan Wasswa (El Geish, Egypt), Khalid Aucho (East Bengal, India), Taddeo Lwanga (Vipers SC), William Kizito Luwagga (CMS Politehnica Lasi, Romania), Milton Karisa (Vipers SC), Allan Kateregga (Cape Town, South Africa), Farouk Miya (Sabail, Azerbaijan on loan from Standard Liege, Belgium), Moses Opondo (Vendsyssel, Denmark)

Forwards: 
Emmanuel Okwi ( Simba, Tanzania), Yunus Sentamu ( Tirana, Albania), Edrisa Lubega ( Floridsdorfer AC, Austria), Mohammed Shaban( KCCA).

Upcoming Uganda Cranes international build ups:
  • Monday, 28th May 2018:   Niger Vs Uganda Cranes.
  • Saturday, 2nd June 2018: Central Africa Republic Vs Uganda.
Both Matches will be played in Niger.

Share on Google Plus

About huhesofm blog

0 Comments:

Chapisha Maoni